📱

Get Our Mobile App

Take your business learning on the go!

Download on the App StoreGet it on Google Play

MASHAKA | Episode 1

Laughs On Leonardo17:09

Transcription

Hoya makumbusho gari ishafika hapo ndio

mwisho wa gari hapo piga chini abilia

>> hapo ndio mwisho

>> ndio mwisho hiyo ndio makumbusho hiyo

acha ushamba

Nubiri ngoja kwanza tumsome lazima

tumsomee kwanza tumtomee lada kwanza

Amani kwanza

>> Subiri kwanza hii mipango inatakiwa

iandik

>> unataka uende wapi?

>> Niache babuu.

>> Eh

>> nijue wewe

>> Rajabu Mwanyege sindio? Eh m hunijui

mimi ni nani? Mimi ni babako wa kambo.

>> Mamako wa kambo anaendeleaje kwanza?

Kijana naona dada zako waliolewa wote.

Vipi wewe? Ushaolewa? Naskia uliolewa

bwana.

>> Tulia tulia tulia.

>> Mume wako biashara yake ya nguvu za

kiume zile ilikufa dawa akaanza

kuzitumia mwenyewe. Anaendeleaje?

Eh ujanja wote umeisha. Eh shenzi

tulia tulia. Umeona unavyolia hivo m

ningeibiwa hili begi ningelia hivyo.

Shenzi.

Ah.

Dogo anajifanya jini mshenzi mshenzi

huyu ngoja nitampata tu mimi tena luata

ni wa hili jiji

huna hela

Kibla unayo hela weka hapa nyumbani

weia hizi ngapi hizi ngapi

hela babu hela poa

>> baby usiniache nitolee na mimi

>> tulia sogea hapa

>> sabla bwana sitaki hadi nitoe siri

>> tulia wewe

>> we si nimetoka kukupa hapa laki muda sio

mrefu tua 10,000 tuondoke

kaa chini pale

subiri kwanza

mtumba kumbe una laki muda wote

>> acha pochi

>> huu niacheni mimi mdogo umekaa kimya

mdogo wetu alfu unachukulia baridi wewe

cha kupiga denda kuga denda

>> pembeni wewe

Hi

hi

ha hi

naitwa Dola sorry naomba unisaidie

kunishikia hii mara moja nataka

njirekebishe

upepo umenani wig yangu

Oh miki mwanangu hii nje huku uongo

>> huku

>> eh huu uongo tupite

>> m naonekana tungepita huku

>> ahah huku pabaya huku

>> huku sio

>> huku pabaya huku

>> kwetuingie hivi

>> sikia nataka nikupe kazi

>> ah sorry sitaweza kukupokea kazi yako

kwa sababu haraka sana

>> eh

>> ah sikia yaani Yaani kuna vijana ha

cheki njoo njoo kuna vijana wawili pale

sawa waambie kuna binti mrembo anawaita

kwenye kona

>> namtaka yule mwenye begi yule

>> sikiza kakangu nikuambie sawa

>> nina interview sasa hivi asubuhi ina

haraka natakiwa nifike muda huu hapa

ninaongea na wewe ndio maana nilikuwa

njiweke

>> sawa naelewa lakini na mimi nina haraka

namtaka mwenye begi yule tu basi na

haraka naye. Asante kwa kunisaidia. Sawa

>> kwa kunishikia hivi vitu.

>> Naomba naomba

naomba

>> nini?

>> Naomba naomba hiv

>> sikiliza sikiliza sikia hizi karatasi

nitaondoka nazo mimi usiponisaidia.

>> Hivi wewe una akili timamu wewe

>> nisaidie nikusaidie.

>> Hebu naomba karatasi zangu.

>> Hapana

>> nikie kato. Sikiliza

>> wewe

>> nitakuchangia. Hebu nikie vitu vyangu.

Nikie vitu vyangu. We unajua

unanichelewesha sa hivi asubuhi nina

haraka. mimi mwenyewe nina haraka sikia

nimekupa

>> we nikuambie nikiikosa interviewenda

kuifanya na wewe wefutie

vatu vyangu

yake

wewe

ondoka

samahani

Mjoma twende basi Eh

Nipo na ndugu yenu mweu hapa amevaa

mashati makubwa makubwa mshamba hivi.

Ah sawa.

mjomba twende

>> wapi

>> nyumbani.

Wango hapa ndio nilipoambiwa nikulete

>> hapa

>> ndio

Huyu mwenyeji wako muuni mwanangu mbona

hapokei simu?

>> Hapokei.

>> Ndio

>> hapokei simu kabisa.

wanipe nauli yangu

ujua nitakuzingua ujue sa sikia

tutazunguka na wewe siku nzima leo mpaka

ndugu zako wataponipa hela yangu au

kupokea simu zangu

>> sikia sikia sikia bwana mdogo wewe huyu

unajua unaongea na nani hapa unaongea na

saifil mtafya mtengenezaji na msambazaji

wa kondom afrika nzima babako alihitaji

kama dazan tatu hivi nikamwambia hapana

tulia zaa ndio amekut Nani umezaliwa?

Heshimu

>> unasemaje?

>> Ah ukipanic ni kweli bwana. Relax relax.

ngoja kwanza tulia nikuonyeshe

shika hii ukienda popote ukahitaji

mafuta tumia hii kadi

>> kweli

>> ah dakika sufuri

m

>> alafu hiyo sasa unaweza ukampa hata mkeo

kwa sababu mafuta laini kwa hiyo

yanasaidia nani yanaondoa harara nini

miwasho sijui upel

>> mbona haya ni mafuta ya ngozi haya sijui

ni jeli

>> sindio jeli tom nini ndio hivyo hiv kwa

sio mafuta ya bajaji

>> eh ya kupaka

>> nipe nauli yangu

sasa sikia hapa penyewe nilipokuleta sio

ambavyo nilivyoelekezwa mwefu

>> unaondoka kweli

jamani

jamani nikombezaa

miogo

samahani bwana huu mtaa unaujua vizuri

hu

>> eh

>> huu mtaa unaujua vizuri

>> wewe unaujua

>> m sijui kama naujua ila nahisi naujua

panaitwaje huu mtaa huu

>> karibu

>> karibu

ah asante sawa nakubali ila Sasa huu

mtaa hujaniambia unaitwaje?

Karibu

huu mtaa unaitwa karibu.

Na hapa niliposimama hapa paniitwaje?

>> Karibu

>> jamani pombe.

>> Sikia unamjua mtu anaitwa nani? Anaitwa

>> nani?

Dogo.

Nipombeze

>> nifuate. Mimi ndio mwenyeji wako.

>> Nikufuate wapi?

>> Nyumbani mjomba.

>> Mjomba. Mimi ni mjomba wako

>> umenisahau.

>> Ah umepungua siku hizi.

Twende twende

Mashaka jamani ndugu wangu

hujawahi kukonda dadangu

>> naanzaje kwanza

>> sasa mashaka jamani

>> mbona umekuwa mwest kiasi hichi na

wakati reb aliniambia jamani huku mdogo

wako anakula kama nguruwe

>> ule mkufi umeshanichoma sasa

>> naona mgeni amekuja ghafla hana begi

hana zawadi au hakai sana sindio

Mashaka ndugu wangu.

>> Haya nguo umeziacha wapi na begi lako?

>> Begi asijali atavaa nguo za mwanangu.

Kipusa si anakaa siku mbili tatu. Siku

mbili

kipusa

we kipusa wewe

mtoto huyu kaa utumbo kipusa

kipusa huyu ni mjomba wako anaitwa

mashaka sijui umenielewa lakini

kichosheka kidogo hakiko sawa sasa hapo

alipo huyu bwana hana begi hana nguo

hana kitu chochote umeona hivo hivyo

hivyo ila utampa nguo zako avae kwa

muda. muda na hana muda mrefu wa kukaa

hapa anakukaa siku chache tuongo mume

wangu

>> ni kweli kabisa

>> eh tumeelewana

tumeelewana

>> ndio mama

>> mh

>> haya

unampeleka wapi sasa

si huku ndio nini sasa unampeleka wapi

sikiliza mpe sturi akae bwana huyu

ukitoka hapo fanya kazi zako zote

ukimaliza kanichemshe maji mwekee bafuni

aoge ndio aingie ndani akapumzike.

>> Usije ukamuogesha tu.

>> Ah mkubwa huyu anamwogesha wa nini?

Umenielewa? Eh shida.

>> Sitaki akae muda mrefu juani

>> kama mzee wa kikongwe

tumeelewana?

>> Ndio mama. Haya

nani?

>> Haya mjomba wako wewe.

>> Ah jamani nimefurahi bonge

>> ulimikuta kwenye hali gani bwana huu?

>> Eh

bwana mdogo.

Kwa hiyo ina maana hizi hela zote

ulikuwa unazihifadhi humu humu ndani?

>> Hizi hela za kibamba kwa usha damu,

kibambo kausha damu wewe mwenyewe unajua

tumechukua ili tume tutakiwa turishe

maisho ya watu.

>> Mjomba taratibu mjini unga unauzwa. hizo

pesa zisiporudi mimi mikononi mwangu au

pale pale mlipozikuta mtu azipeke pesa

zangu humu nitakachokifanya mtu atakuja

kukisahau maishani pake

ehe

si niliwaambia memwangalia huyu huyu

ndio mwizi mimi si niliwaambia na nyie

mmeona

>> eh unyama sana eh ah eh moto wetu maji

yetu kudadeki unyama mwingi mpo vizuri

>> tungatungua tuonyeshe kwanza mwizi wa

hela za mama kipusa

>> ndio tuna shida naye sisi

>> hayo mavi yake kweli babu ushavuta mavi

yake

>> wewe unavamia kimbu za watu hujui sheria

>> unamjua fambo kimtambo wewe eh unamjua

kile dudu unamfahamu wewe ny hamna yote

hawezi kuniambia chochote

huu ni ujinga tena ni upuzi

>> ujinga vipi wakati chupa amekupainti

wewe ndio mwizi we ndio mwizi

>> wewe unapiga teke mizimu H