📱

Get Our Mobile App

Take your business learning on the go!

Download on the App StoreGet it on Google Play

30 Days Of Spiritual Pursuit | Day 11 | 11th May 2025

Capstone Fellowship Churches31:10

Transcription

[Muziki] vile ulivyo kwangu wema [Shangwe] wanishangaza, nashangaza na pendo lako; vile ulivyo kwa [Muziki] Mungu wema wazidi yote, wishangani [Shangwe] wishangani na shanga na pendo la milele, mwema [Muziki] wazidi yote, shamba kwa shamba. [Muziki] [Muziki] [Muziki] [Muziki] Bele funua neema yako familia yangu [Muziki] ikujue; unua neema neema yako na kanisa lako [Muziki] likujue; neema [Muziki] yako na taifa letu likujue; funua neema yaku hata sisi zote tukujue neema yako yako neema [Muziki] yako neema [Kicheko] yako neema yako neema [Muziki] yako neema yako wako.

Haya ni maombi yangu kwako. Wote ninaowapenda wasif neema yako na neema yako; basi kwa ahadi ya kuingia rahani mwako sitaki kukosa nani niwapenda. Oh [Muziki] haya ni maombi yangu kwako; wote ninaowapenda wasife na [Muziki] neema na neema yako pasikiwa; ipo ahadi ya kuingia ndani sitaki kukosa naniwapenda; funua neema yako familia yangu ikutu [Muziki] funua neema yako marafiki zangu watujue; funua neema yako na kanisa lako likujue; funua neema yako na huduma yangu Ikue; funua neema yako. Marafiki zangu wakujue neema yako. Neema yako. Neema yako. [Muziki] Neema yako, neema yako, neema yako, neema [Muziki] yako, siwa neno [Muziki] Lord we wait for has come to can you see the lord can you see Laz the Lord for you [Muziki] Lord wait for has come to pass the Lord Lord see what the Lord has the Lord [Muziki] has waited for has come to pass you see what the Lord [Muziki] The Lord has the Lord has given me today. The Lord has see what the Lord has me today. See what the Lord has given me today. I have been longing for. I have been praying for. See what the Lord has done for me. Father we are grateful. Father we are grateful. Father we are grateful.

Umefanya njia pasipo na njia. Umetoa mlango pasipo na mlango. njia kwa sifa na njia; we magnify the way maker the king of king the lord of lord mighty god mighty warrior mighty glory [Muziki] we yale ambayo mungu tumekuwa tukikusubiri umejibu umetujibu; now we are grateful [Muziki] to come [Muziki] to has come to see what the Lord. Shangilie Bwana kwa [Muziki] makofi what we have been waiting for. God has done it already. Bana amekifanya tayari. [Muziki] Haleluya. Yesu Yesu Yesu. Yesu Halleluya. Haleluya. Come on can just be a grateful mother. Shukuru Mungu tu. Father we thank you. Father we thank you. Father we thank you. Father we thank you. We are grateful. We are grateful. We are grateful. We are grateful kwa yale ambayo utatenda wiki hii. Kwa yale ambayo umeshatenda na kwa yale ambayo utaenda kufanya. God we are grateful.

uliyoyatenda kwangu ni mengi; shuvuda zako hazielezeki; umefanya hili umefanya lile umenipa jina baba ninakushukuru; uliyoyatenda kwangu ni mengi shuhuda zako hazielezeki eh umefanya hili umefanya lile umenipa jina baba ninakushukuru eh baba sema nini siwezi kueleza baba nina baba nina kushukuru uru eh nikulipe nini nikulipe nini siwezi kuweteza baba nina baba nina baba nina umefanya mengi umefanya mengi umeneza baba nina baba nina baba ninaf nikulipe nini nikulipe nini eh baba nina Nina baba nina baba nina oh umefanya mengi umefanya mengi siwezi kueleza baba nina baba nina kushukuru umefanya mengi umefanya mengi siwezi kueleza baba nina baba nina nitarudia tena kushukuru ulio ya tena kwangu nembe oh shuda zako wazielezeki umefanya hili umefanya lile umenipa jina baba ninakushukuru niseme nini eh niseme nini siwezi kueleza baba nina baba nina baba nina grateful Ah nikulipe nini? Eh nikulipe nini? Eh kwa yote umetenda baba nina baba eh baba nina umefanya mengiyaanya umefanya siwezi kueleza baba nina ninatoa shukrani zangu in the future nikulipe nini hakiwezi hata kidogo kulingana kwa uaminifu wako Yesu Baba nina Baba nina eh umefanya mengianya umefanya siwezi kupendeza baba nina baba nina baba nina eh nikulipe nini eh nikulipe nini nikulipe baba nina baba nina tunaenda ya pili sasa baraka zako wazi baraka zako wazi siyehesab kwa wema wema wako uzoende umefanya hi umefanya umefanya utafanya jina umenipa jina [Muziki] kushukuru baraka zako haihesabika baraka zako halihesabiki kwani wema wako wema wako wako hauto Eh umefanya hili umefanya hili umefanya lile umenipa jina umenipa jina tunarudia tena tunarudia tena baraka zako haziesafiki nimekuona mwaka jana ninakuona mwaka huu na nitakuona na mwakani wema wema wako umefanya hili umefanya umefanya umenipa Jina umenipa jina umenipa jina for the last time baraka zako hazifajaribu kuhesabu nashindwa kumaliza zile baraka ambazo Mungu amenia wakaoende umefanya hili umefanya utafanya utatenda na lile unatenda na lile niseme nini ni Yesu nini siwezi kuwendeza mama nina weful umefanya mengi umefanya mengi kueleza baba nina baba nina yesu tunakushukuru nikulipe nini wewe nikulipe nini umetenda bali nina baba nina bali nina [Muziki] umefanya mengi umfanya mengi utaza tena ya leo baba nina baba nusu [Muziki] baba nina baba nina ninakushukuru yesu baba nina baba nina kwa matendo yako yesu kwa shuhuda utakazozifanya ninakushukuru kwa uponyaji kwa ulinzi kwa neema uliyonipa ninakushukuru tena grful nina baba nina baba nina kwa baraka zako utakazonipa baba kwa wema wako unaonionyesha bwana baba nina baba ninaushukuru eh baba nina baba nina ninakushukuru eh baba nina baba nina umefanya hili umefanya lile umefanya hili umefanya umenifa baba nina baba nina baba ninaushukuru umefanya hili umefanya lile umefanya hili umefanya lile umenipa jina umenipa jina umenipa jina umefanya hili umefanya lile umefanya umfanya we umenif mwaminifu sana wewe ambaye ni Mungu wetu wewe ni baba yetu umefanya hili umefanya lile umefanya hili umefanya lile umenipa umenipa baba ninaushukuru [Muziki]

wver shout a big halleluya Haleluya. Mahali popote ulipopiga kelele iliyokuu. Haleluya. Big haleluya. Piga haleluya ku haleluya. Unajua kila siku nawaletea kitu that you can pray for ambacho tunaweza kukiombea. Usivipuzie tu hivi vitu. I guarantee you if you walk this journey correctly. Ninakuhakikishia kama ukitembea hii safari sawia You will never be the same. Kama hautakuwa kama ulivyokuwa. something new to jambo jipya lazima lianze kuchipuka kwenye maisha yako. Something new begin to emerge in your business. Kuna jambo jipya linaanza kutokea kwenye biashara yako. Something new will begin to emerge in your relationship. jipya itaanza kutokea kwenye mahusiano yako because when you change your inside kwa sababu unapobadilisha ndani kwako When you transformed in your inside unapokuwa umebadilishwa ndani kwako your outside does not have a choice mazingira yako ya nje yanakuwa hayana uchaguzi it ni moja kwa moja pia yatabadilishwa because when you change the inside of the tree kwa sababu unapobadilisha undani wa mti by the way you treat it katika namna unavyo shughulika nao the fruit will show up matunda yataonekana and prove that the tree is now different na kudhibitisha kwamba sasa mti ni wa tofauti. May the bless you as we proceed. Bwana akubariki tunapoendelea in the mighty name of Jesus. Katika jina ku la Yesu. Lord speak to us. Bwana sema nasi. Fire our in season. Kupitia neno la wakati. Speak to someone tonight. Sema na mtu usiku wa leo. Whoever is watching this program from anywhere. Yote anayetazama programu hii kutoka mahali popote pale baba ninaomba touchouch them waguse speak to them sema nao and cause something new to their livabisha jambo jipya lichupuke kwenye maisha yao inus katika jina la Yesu somebody shout hallelujah kele sema haleluya amen god bless you so much amen mungu awabariki sana glory be to the lord Jesus utukufu kwa bwana yesu kristo

weve been going through certain attitudes and characters tumekuwa tukipitia baadhi ya mitazamo na tabia and we are looking at them from the negative point of view na tunaitazama kutoka kwenye mtazamo ambao ni mbaya when you do not have the right character pale ambapo unakuwa hauna tabia sahihi you suffer the consequences unapata madhara yake mabaya when you lack faithfulness in life ukikosa uaminifu kwenye maisha you suffer the consequences unapata madhara yake mabaya when you choose to be careless unapochagua kutokuwa makini When you practice negligence unapoendekeza kupuuzia mambo you suffer the consequences unapata madhara yake mabaya. One day the apostle Paul told Timoth. Siku moja mtume Paulo alimwambia Timotheo, "Do not neglect the gift that you received by the laying on of hands by eldership." usipuuzie ile kalamu uliyoipokea kwa kuwekewa mikono na wazee. What does that mean? Hii inamaanisha nini? The gift was there. Karama ilikuwepo pale. But he was negligent. Lakini alikuwa ni mtu wa kupuzi. He didn't care so much to do something about it. Hakujali sana kwa maana aifanyie kazi. One day the Lord spoke to the children of Israel. Siku moja Bwana alisema na wana wa Israel do not neglect to go out and possess the land. msipuzie kutoka na kwenda kumiliki nchi. There are many things we fail to possess today. Kuna mambo mengi tunashindwa kuyamiliki leo. Because of negative attitudes. Kwa sababu ya tabia mbaya. Such negligence kama kupuzia mambo. Unfful kukosa uaminifu. Disobedience uasi. All those things and many more that I've already spoken. Mambo yote kama na mengine mengi ambayo nimeshazungumzia. Pursue those negative traits in your life. Fuatilia hizo tabia mbaya kwenye maisha yako. And begin to fight them. Na anza kupigana nazo. Until you break through. Mpaka upenye. Nobody breaks through in terms of character. Hakuna mtu anapenya ama anatoka kwa habari ya tabia. And then the outside doesn't show the results. Na kisha mazingira yanayomzunguka yasionyeshe matokeo. No. Hapana. When your inside is changed. Ndani kwako unapokuwa umebadilishwa your outside will respond. nje kwako mazingira yanayunguka yanaitikia mazingira yanayokuzunguka yataitikia and that's the gift going to receive from God na hiyo ndio zawadi ulienda kuipokea kutoka kwa Bwana the reward going to receive from God dhawabu ambayo kuipokea kutoka kwa Bwana sometimes back muda fulani uliopita I stood in front of the congregation of capson fellowship nisibaba mbele ya kusanyiko la kanisa la Kepson I stood in front of the congregation of Capson Fellowship Nilisimama mbele ya kusanyiko la Capson Fellowship and I told Na niliwaambia the difference between reward utofauti kati ya dhawabu and gift na zawadi God has both Mungu anavyo vyote. He has rewards. Ana dhawabu and he has gifts. Na ana zawadi. Gifts. Zawadi you will receive. Utapokea. Free of charge. Bure kabisa. You don't have to impress God to receive a gift. Haupaswi umpendeze Mungu kupokea zawadi. It's just a gift. Ni zawadi tu. You don't have to impress me to give you any gift. Haupaswi kunipendeza mimi kwa namna yote ya nikupatie zawadi. The moment you impress me, utakaponipendeza mimi I give you because youve impressed me. Na nikakupatia eti kwa sababu umenipendeza. Itases to become a gift. Hiyo inakoma kuwa zawadi. Immediately it becomes a reward. mara tu inakuwa ni dhawabu.

in God's system of supplying kwa ho katika mfumo wa usambazaji wa Mungu in his provision katika mfumo wake wa upaji in his katika mfumo wake wa kutoa vitu kwa watu wake there's a gift kuna zawadi and there's a reward na kuna dhawabu rewards dhawabu are much bigger than gifts believe me ni kubwa zaidi ya zawadi niamini a reward dhawabu is what you receive because of what you did. Ni kile unachopokea kwa sababu ya kile ulichofanya. There are certain responsibilities that God give us. Kuna wajibu fulani fulani ambao Mungu anatupatia. He is expecting usatarajia tuweze kutekeleza. And when we do Na tunapofanya hivo we receive rewards. Tunapokea dhawabu. Not everything is a gift. Si kila kitu ni zawadi. There are many people have gone in the presence of God. Kuna watu wengi wameenda kwenye uwepo wa Mungu. Trying to ask what is supposed to be a reward. Wakijaribu kumuomba Mungu kitu ambacho kinapaswa kuwa dhawabu. They want to receive it as a gift. Wataka wakipokee kama zawadi. It will never work. No amount of prayer will change that. Kama hawezi ikafanya kazi. Hakuna kiwango chote cha maombi inaweza ikabadilisha hiyo. When God has planned to give you as a reward. Mungu anapopanga kukupatia kama dhawabu there is what you must do. Kuna kile ambacho unapaswa kukifanya. In heaven. mbinguni. The Bible says, Bibilia inasema, "Behold he comes, tazama anakuja with his rewards in his hands." Akiwa na dhawabu kwenye mikono yake not his gifts in his hands. Sina zawadi kwenye mikono yake. His rewards. Na dhawabu yake to give each one. Kumpatia kila mtu according to his sawasawa na kazi yake. Reward. dhawabu now many people sasa watu wengi they are going to god wanaenda kwa mungu asking to change the reward to become a gift wakimuomba badilishe dhawabu iwe zawadi give me lord nipatie bwana nipatie bwana desperate nina shauku kuu no matter how much desperate haijalishi utakuwa na shauku kuuu ya kiwango gani can change a reward hawezi kubadilisha dhawabu kuwa zawadi with a reward kwa dhawabu you expected to something unatarajia ufanye jambo fulani a gift zawadi just a gift ni zawadi tu it's just a gift ni zawadi tu you don't have to do anything haupaswi kufanya chochot you receive it by grace unaipokea tu kwa neema characters tabia good characters tabia njema are rewarded zinapata dhawabu Good characters are rewarded. Tabia njema zina dhawabu yake. Good works are rewarded. Kazi njema zina dhawabu yake. Faith is rewarded. Imani ina dhawabu yake. Mind what you do. Zingatia unachofanya. And mind what you refuse to do. Na zingatia kile ambacho unakataa kufanya. Because you miss a very precious gift. Kwa sababu utakosa zawadi yenye thamani sana. Are you hearing me children of God? Misikia wana wa Mungu? Salvation wokovu a gift ni zawadi. Nobody paid for it. Hakuna mtu aliyelipia. You just believed. Tuliamini tu. And then you given salvation. Unaamini tu na kisha unapewa wokovu. But once you inside salvation. Lakini unapokuwa ndani ya wokovu salvation mara tu unapokuwa ndani ya wokovu the reward system begins to function mfumo wa dhawabu unaanza kufanya kazi somebody shout hallelujah mtume piga k sema haleluya so it's just a warning or question to some kwa ho ni angalizo tu kwa mtu do not expect a reward word to be turned into a gift by your prayers. Usitarajie dhawabu kubadilishwa kuwa zawadi kupitia maombi yako. You receive it a gift as a reward. Utaipokea kama dhawabu which demands ambayo inakutaka certain responsibilities. wajibu fulani fulani are we together children of God tuko pamoja wana wa Mungu so it kwa ni juu yako wewe to choose today kuchagua leo you want to live depending on gifts je unataka kuishi ukitegemea zawadi or ama gift and rewards vyote zawadi na dhawabu gifts zawadi you can't ask for it when you in need hawezi kuziomba unapokuwa kwenye uhitaji. You can't ask for gifts to become rich. Hauwezi kuomba zawadi ili uwe tajiri. No. Hapana. People give gift to what they feel like. Watu wanatoa zawadi pale wanapojisikia kufanya hivyo. Not because you need it. Si kwa sababu unahitaji. Because they feel like giving that gift. Wanahisi kana kwamba watoi hiyo zawadi. Hivyo tu. In fact when people are planning to give out gifts. Hata hivyo watu wanavyopanga kutoa zawadi. And you go and ask for it. Na ukaenda kuiomba they get annoed. Wanakwazika. They want to give as they wish. Wanaboreka. Wanataka watoe kama wanavyotaka wao. God gives his gifts. Mungu anatoa zawadi zake wishes. Kama atakavyo yeye. Not because you holy than other people. si kwa sa