Transcription
[Muziki] Sijui ufanyavyo. Sijui utendavyo. [Muziki] Kile nachojua ukiamrisha vinakamini sijui ufanyavyo. Sijui ufanyavyo. Sijui utendavyo. [Muziki] Kile [Shangwe] [Muziki] nachojua sijui ufanya sijui ufanyavyo. Sijui utendavyo, Bwana. Sijui [Shangwe] watendavyo vile vile vile kile nacho amri umeamrisha vinakamilika vinakamilika sijui utendavyo. Sijui utendavyo. [Muziki] Sijui ufanya wala vile vile vile kile nachojua umeamrisha umeamrisha vinakamilika vinakamilika sijui. Sijui ufanya. Sijui ufanyavyo. Sijui utendavyo. Sijui utendavyo. Bwana Bwana Bwana Bwana Yesu. Kile nachojua umeamrisha. Umeamri kamili. Inakamilika unaweza yote. Unaweza yote. Unaweza yote. Unaweza yote. [Muziki] Kile nachojua umeamrisha. Umeamakamilika inakamilika unaweza yote. [Muziki] Unaweza yote. Oh unaweza, Bwana, unaweza yote. Tunakuamini tunakuamini, Yesu. Bwana kile nachojua ukiamrisha ukiamrisha kamilia. [Muziki] Kamilia sijui ufanyavo sijui ufanyavyo sijui utendavyo. Sijui utendavyo vile vile vile kile nachojua umeamrisha umeamrisha inakamilika inakamilika oh unaweza yote unaweza yote unaweza yote yote unaweza yote bwana vile kile tu umeamrisha. [Muziki] Kamili tazama wewe ni bwana Bwana Mungu wa wote wenye mwili. [Muziki] Je, lolote [Muziki] usilweza tazama wewe ni Bwana Mungu wote wenye mwili je, umulol [Muziki] usilwe tazama tazama wewe Bwana Mungu wote wenye mwili jengo la neema. [Muziki] La usilweza tazama. Tazama wewe ni Bwana wewe ni Bwana Mungu wa bwana wote wenye mw. Je, kuna neno? Je, kuna neno ngumuote usho us Bwana niweza. Tazama tazama wewe ni Bwana wewe ni Bwana Mungu wa wote wa wote wenye mwili je, na neno jeu na neno usiloweza usil usiloweza usiweza Bwana tazama tazama wewe ni Bwana wewe ni bwana wangua wote. [Muziki] W wote mwili je kuna neno je kuna neno lolote usilo usilweza. [Muziki] Je kuna neno? Je kuna neno? Kuna neno kuna neno usil niweza je kuna neno? Je kuna neno neno? [Muziki] Usa [Muziki] usilwe je kuna neno je kuna neno kuna neno kuna neno usilo usilo niwe niweza za kuna usiloweza. [Muziki] Usiloweza niwez je kuna neno je kuna neno kuna neno kuna neno kuna neno usilo ni Ni na neno cheeku na neno lolote usiloweza usiloweza. [Muziki] [Muziki] Rohoni na mwilini unatawala. Wewe ni Mungu uliye juu ya vyote. Nalo katika mwayafanya. Katika mwili anahadirika rohoni na mwilini wanatawala wewe ni Mungu uliye juu ya vyote. O katika roho unayafanya katika mwili anadhihirika uko juu ya [Muziki] vyote. [Muziki] Bwana watawala milele Bwana Bana uko juu ya vyote. Uko juu ya vyote Bwana watawala milele. Watawala milele. [Muziki] Bwana Bwana uko juu ya vyote uko juu ya vyote Bwana Bwana watawala milele watawala milele. [Muziki] Bwana Bwana uko juu ya vyote uko juu ya [Muziki] vyote bwana watawala milele bwana bwana uko juu ya vyote uko juu ya vyote Bwana watawala milele watawala [Muziki] milele. [Muziki] Bwana rohoni na mwilini unatawala wewe ni Mungu uliye juu ya vyote yalo katika roho unayafanya katika mwindi anadhihirika rohoni na mwilini rohoni na mwilini unatawala wewe ni mungu wa wote. Wewe ni Mungu uliye juu ya nyo yalo katika roho nayafanya yalo katika roho nayafanya katika mwili anadhihirika katika mwili anadhihirika mwambie tena rohoni na mwilini unatawala rohoni na mwilini unatawala wewe ni Mungu Wewe ni Mungu uliye juu ya vyote. Yalo katika roho y katika roho unayafanya katika mwili anadhirika katika mwili mwambie uko juu ya juu ya vyote. [Muziki] Bwana bwana watawala milele watawala milele. [Muziki] Bwana Bwana bwana uko juu ya vyote uko juu ya vyote. We Bwana Bwana watawala milele. Watawala milele. Eh Bwana Bwana uko juu ya vyote. Uko juu ya vyote. Eh wewe ni Bwana watawala milele. Watawala milele. Bwana [Muziki] uko juu juu ya vyote e bwana bwana watawala watawala milele e bwana uko juu bwana uko juu ya vyombo. [Shangwe] [Muziki] Twende bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana wewe ni Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Eh Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Elohim Bwana Bwana Bwana Elis Bwana Bwana Bwana Bwana My Jehova Bwana Bwana Bwana provider Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana wewe ni Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana uko juu ya [Muziki] vyote. [Muziki] Bwana watawala milele. [Muziki] [Shangwe] Mele bwana uko juu ya vyote Bwana unatawala milele milele. [Muziki] Bwana wewe ni Bwana uko juu ya vyote ya vyote. Wewe ni Bwana wewe ni Bwana unatawala [Muziki] milendele. Wewe ni Bwana. Wewe ni Bwana. Eh uko juu ya vyo. Vitu vyote viko chini yako. Mamlaka zote ziko chini yako. Wewe ni Bwana. Falme zote zipo chini yako. Mamlaka zote ziko chini yangu. [Muziki] [Kicheko] Eh oh. [Muziki] E ye ee E [Muziki] yeye unatawala milele yote Bwana unatawala milele yote. Wewe ni Bwana hakuna kilicho juu yangu. [Muziki] Bwana vitu vyote vipo chini ya miguu yako. Oh nasi tunakuatimiza. Nasi Mungu tunakuatimiza. Nasi Mungu tunakuatimiza. We ni Bwana. Bwana Bwana Bwana wewe ni Bwana Bwana. Bwana Bwana. Yes. Wewe ni Bwana. Bwana Bwana Bwana. Eh wewe ni Bwana Bwana Bwana Bwana wewe ni Bwana wa vitu zote. Wewe ni Bwana wa falme zote wewe ni Bwana wa ukuu wote. Wewe ni Bwana juu ya sultani zote. Wewe ni Bwana. Bwana Bwana. Bwana Bwana. Eh wewe ni Bwana. [Muziki] [Muziki] Milele yote unatawala milele yote upo juu. Milele yote upo kwenye enzi yako. Ufalme wako hauna mwanzo. Ufalme wako hautakuwa na [Muziki] mwisho. Wote mighty God. Wote mighty God we worship. Wote mighty God we worship. Wote mighty God we worship. Wewe unayeweza kuiondoa milima pasipo yenyewe kujua repa ukuu wako hautambulikani kwa wanadamu wala hautunguziki umewasili wote umewasili wote. Umewasili wote. Weini wote bwana repa [Muziki] reaya a Yes ndio bwana tunakuazimisha tu ndio bwana tunakuabudu tu eh bwana tunaona kupendelewa kupatikana uweponi mwako mungu tunaona ni upendelewa maana wewe umejitoseleza bwana hata pasipo ibada wewe ni mungu wewe ni mungu umesema wewe ni safe existing god ndio maana mungu tunaona tumependelewa kukuabudu wewe tumependelewa kukuabudu wewepaka natamani mtu mmoja endelea tu pale ulipo mwazimishe bwana mwambie maneno mazuri hebu taja ukuu wake mwabudu. Mwabudu yeye kwa uzuri wake. Mwabudu yeye kwa ukuu wake mahala popote ulipo. Niazimishe jina la Bwana. [Muziki] E haya. Yes Lord. Yes Lord Yes Jesus. [Muziki] [Muziki] Wewe ni Bwana wewe ni Bwana wewe ni bwana reaka hakuna kama wewe. Hayupo kama [Muziki] wewe. Ndio ndio ndio ndio we before you Lord we bow before you Jesus we b before you Lord your worth of my worship your worth of my adoration worth you worth and I worship you and I love [Muziki] Maneno yangu hayatozi maneno yangu hayatozi nainama kwako Bwana Yesu naabudu chini yako. [Muziki] Yesu haya. [Muziki] Re [Muziki] [Shangwe] [Muziki] [Shangwe] [Muziki] Yi wadi yani [Muziki] Jesus man [Muziki] uko juu ya vyote bwana our heavenly father. [Muziki] We give you glory, praise and honor. Tunakupa utukufu, sifa na heshima. There can never be any other God except you Lord. Kama hakuwezi kuwa na Mungu mwingine zaidi yako Bwana. You are the king of kings. Wewe ni mfalme wa wafalme. You are the Lord of heaven and earth. Wewe ni Bwana wa mbingu na nchi. Tonight Lord we humble ourselves in your praises. Usiku wa leo Bwana tunajinyenyekeza uweponi mwako. Please Lord touch us. Tafadhali Bwana tugose. Please Lord minister to each one of us. Tafadhali Bwana mhudomie kila mmoja wetu. We need you Holy Spirit. Tunakuhitaji wewe Roho Mtakatifu. We need you Holy Spirit. Tunakuhitaji wewe roho mtakatifu. We can not do anything significant without your help. Hatuwezi kufanya chochote cha muhimu bila msaada wako. Come down in this place Lord. Shuka Bwana mahali hapa. Catch everyone who is joining this program. Mguse kila mmoja anayeungana na program hii. And cause them to receive something from you Lord. Na uwasababishe wapokee kitu kutoka kwako Bwana. To receive the ministration of our word and season. Wasababishe wapokee huduma ya neno la wakati. We thank you daddy. Tunakushukuru Bwana. We thank you Holy Spirit. Tunakushukuru Roho Mtakatifu. We thank you Jesus. Tunakushukuru Yesu. Thank you Lord. Asante Bwana. In Jesus name we prayed. Katika jina la Yesu tumeomba. And everyone say amen. Na kila mmoja aseme amen. Please take your seats wherever you are. Tafadhali uketi mahala popote ulipo. You may want to send a link to one of your friends or two or three or the whole group of WhatsApp whatever. Pengine ungehitaji kuwatumia link ya program hii rafiki zako kwenye WhatsApp au mara popote ambapo unaweza. And God will bless you for doing that. Na Mungu atakubariki kwa kufanya hivyo. Don't just look at me. Usilitazame tu. Please send. Tafadhali watumie watu hiyo link. I'm asking you please send that link. Someone might be helped because of the teaching of tonight. Nawaombeni tafadhali mtume hizo linki. Kuna mtu anaweza akasaidiwa kwa mafundisho usiku wa leo. We are pursuing spiritual values. Bado tunafukuzia zile tabia za kiroho that bring changes in our lives. Ambazo zitaleta mabadiliko kwenye maisha yetu. Are you ready? Uko tayari? [Muziki] The Bible says, Biblia inasema in the book of Isaiah chapter 40. Katika kitabu cha Isaya sura ya 40. And we commence reading from verse 27. Na tutaanzia kusoma mstari wa 27. Isaiah 40 from: 27 ya 40 kuanzia mstari wa 27. Why do you say oh Jacob and speak oh Israel my way is hidden from the Lord my just claim is passed over by my God. Mbona unasema eh Yakobo mbona unanena eh Israeli njia yangu imefichwa Bwana asiione na hukumu yangu imempita Mungu wangu asiangalie. Have you not known? Have you not heard? The everlasting God the Lord the creator of the ends of the earth neither faints nor is worry. His understanding is unsarchable. Je wewe hukujua hukusikia yeye Mungu wa milele Bwana muumba misho ya dunia hazimii wala hachoki akili zake hazichunguziki he gives power to the weak and to those who have no mighty he increases strength. Huwapa nguvu wazimiao humuongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo even the youth shall faint and the young men shall utterly fall. Hata vijana watazimia na kuchoka na wanaume vijana [Muziki] wataanguka. But those who wait on the Lord shall renew their strength. They shall mount up with wings like eagles. They shall run and not bey shall walk and not faint. Bali wao wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya. Watapanda juu kwa mbawa kama tai. Watapiga mbio wala hawatachoka. Watakwenda kwa miguu wala hawatazimia. The heart of waiting. Moyo wa kungojea. The heart of waiting. Moyo wa kungojea. Every time you hear the word waiting. Mara zote unasikia neno kungojea. It carries several components. But there are two components that are very crucial. Linabeba sifa tofauti lakini kuna sifa mbili ambazo ni za muhimu sana inside this word called waiting ndani ya hili neno la kungojea every time you hear mara zote unasikia ngojea time is involved muda unahusishwa the word waiting neno kungojea cannot be there if time is not involv haliwezi kuwepo pale kama muda haujaahusishwa. [Muziki] Cannot be there. Haliwezi kuwepo pale. Another thing jambo lingine when you hear the word waiting. Unaposikia neno ngojea. Patience is involved uvumilivu au utahimbilivu unahusishwa. Patience isolved. Uvumilivu unahusishwa. Waiting is not easy. Kusubiri au kungojea sio rahisi. Especially when you waiting. Hali maalum pale unapongojea. Without any time frame given. Pasiipokuwa na ukomo wa muda uliowekwa. You just told wait. Umeambiwa tu ngojea. You don't know it is one hour. Haujui nilisali moja. One week. Wiki moja. One year. Mwaka mmoja. Two years. Miaka miwili. Miaka mumi haujui but the person who told you wait lakini yule mtu aliokuambia ungojee is a person you trust 100% ni mtu unayemwamini kwa 100% what do you do unafanya nini and you still a human being who can get tired na wewe bado ni mwanadamu na unaweza kuchok let me add one more component ngoja niweke sifa nyingin i said there are several but i can't finish them nilisema zipo nyingi lakini siwezi kuzimaliza component that is inside the word waiting sifa nyingine au element nyingine ambayo ipo kwenye neno kungojea there must be expectation lazima kuwe na mataraji you don't wait for nothing haungojei patupu everybody who waits yeyote anayengojea they are waiting for something they know wanakuwa wanangojea kitu wanachokifahamu they are waiting for something they desire wanangoja kitu ambacho wan shauku nacho when the bible says wait upon the lord sasa biblia inaposema Mgojee Bwana. It doesn't mean you waiting for God to come physically and just talk to you and I have now come. Haimaanishi kwamba ungoje Bwana aje hivi mwilini na aje sasa aseme nimekuja tuongee. Issu kuna mambo there are needs. Kuna mahitaji. There are challenges. Kuna changamoto there are mountains. Kuna milima there are valley kuna mabonde are rivers you want to cross. Kuna mito unapaswa kuvuka. And you don't have what it takes. Na hauna ule uweza wa kukuvusha. And now you're waiting. Sasa unamngojea. For some kind of help. Unangojea msaada. And you waiting that help from the Lord. Na unangoja msaada huo kutoka kwa Bwana. [Muziki] Are you hearing me children of God? Mnanisikia wana wa Mungu? What is it that you waiting for? Ni kitu gani unachokingojea? What is it that you expecting from God? Ni kitu gani unakitarajia kutoka kwa Mungu? What is that need? Je ni uhitaji gani huo? What is it that has given you so much pressure? Je ni kitu gani ambacho kimekupa sana pressure? What is it that has lasted for long time and you can't see an end? Ni jambo gani ambalo limedumu hapo kwa muda mrefu? Sana na huoni mwisho wake. You see unajua hardest part of waiting ya sehemu ngumu sana kwenye kusubiri au kwenye kung [Muziki] ni pale ambapo huoni matarajio yako hata kwa mbali. Even try and climb on on top of a house you can't see. Hata ukijaribu kutazama kwa bidii sana upande hata juu ya nyumba huwezi kuona. You see long time ago unajua wakati fulani uliopita huko nyuma in this country kwenye hii nchi in the 1970s katika miaka 1970 in the villages in the rural areas kule vijijini a bus if a village is lucky they would have a bus pass once or twice a week kama hicho kijiji kingebahatika sana basi lingepita mara moja au mara mbili kwa wiki one bus would be even five roots basi moja lingepewa ruti tano tofauti. This day go to this village sikuili tena kwenye kijiji hiki and back to the city na kurudi mjini another day to another direction na siku nyingine kwenye uelekeo mwingine. Back to the city na kurudi mjini another day to another village. Siku nyingine kwenye kijiji kingine in direction kwenye uelekeo tofauti. Because there were fewer buses. Kwa sababu mabasi yalikuwa machache. When the day the bus comes to your village kwa hiyo ile siku ambayo bus litakuja kijijini kwenu and your father has told you that particular day we are going to the city to buy you some clothes and shoes na babako alikuambia siku hiyo kwamba mtapanda hilo basi na kwenda mjini kununua nguo na baadhi ya viatu and you know there will be some supplus when you go to the city na unajua kutakuwa kuna ziada ukienda kule mjini in the village there were no donuts ah kule vijijini kulikuwa hakuna hizo hizo donuts maandazi they were not there hayakuwepo the only way you can eat them is when you go to the city namna pekee ambayo unaweza kula hayo maandazi ni ukienda mjini and when you eat one na ukibahatika kupata ndazi moja next day when you go to school siku inayofuata ukienda shule has it happen to you or what you tell the whole class utahadithia darasa zzima have you ever tested andazi mmeshawahi kuonja andazi nyie Have you tasted donut? Meshawahi kuonja donut? How big was it? Ilikuwa kubwa kiasi gani? I went to the city with my dad. Mimi nilienda mjini na babangu. So youl be waiting for that day. Kwa hiyo utakuwa ukiingoja hiyo siku. And that day comes. Na hiyo siku inafika. And the bus is not appearing my friend. Na basi halitokei. Rafiki yangu. You are told the bus will pass here by 7 o in the morning. Unaambiwa kwamba basi litakuwa likipita hapa saa moja kamili asubuhi. By 5 you are already there. Saa 11 alfajiri uko pale. 7 o has come and the bus is now where to be seen. Saa moja inafika na basi halionekani. Now you begin to ask your dad. Sasa unaanza kumuuliza babako dad is it coming? Baba je litakuja? And your dad is telling you just wait. Na babako anakwambia wewe ngoja. Just wait. Be patient. We ngoja uwe mvumilivu. And then 8:00. Na inafika saa mbili the bus is not coming basi aliji that part of waiting hiyo sehemu ya kungojea when you don't see an answer showing signs of com pale ambapo huoni dalili au ishara za jibu likija it is the hardest part of waiting ndio sehemu ambayo ni ngumu kuliko zote katika kungojea easier to wait once you see the bus you see dust com ni rahisi kungojea wakati unaliona basi liko kule na unaliona vumbi that incidents that happened. Sasa kuna hizi hali ambazo zinatokea you see dust unaona vumbi from a distance kutokea mbali kabisa you begin to be excited unaanza kufurahia at last the journey is there today unasema eh sasa safari imetimia and when that vehicle comes na hilo gari linapofika it's not the bus you waiting linakuwa sio lile basi ulokuwa ukig a truck going to take some firewood somewhere ni basi ambalo linaenda kukusanya kuni sehemu fulan and you get disappointed na unavunjika moy have to start waiting again. Unaanza kungoja tena. Now one thing I I remember. Sasa jambo moja nalikumbuka I wouldn't want my dad to tell me. Nisingependa babangu aniambie today the bus is not coming. Leo basi halitakuja. Let's go back home. Turudi tu nyumbani. I didn't want to hear that. Hiyo mimi sitaka kusikia. I was willing to wait for the whole day. Nilikuwa nipo tayari ningoje siku nzima hata bila kula pale. I want to go to the city. Kwa sababu nilikuwa natamani sana kwenda mjini. Nilikuwa natumaini na kwenda mjini. I was willing to wait the whole day. Kwa hiyo nilikuwa niko tayari ningojee siku nzima. A problem today in the church. Lakini kuna shida leo kanisani. People matarajio. But they can't wait. Lakini hawawezi kungojea. When one expectation, one hope is broken. Pale ambapo tumaini au kungojea kwa aina moja kunakuwa kumevunjika. Answer to your expectation happens to be not the answer. Ule mononekano au matarajio ya majibu yako inatokea kuwa sio kama vile ulivyotarajia. What you thought the bus is coming, it happened to be a truck that is going for firewood. Pale ambapo ulizania lile vumbi ni basi ambalo linakuja kubeba na inatokea kwamba ni lori ambalo limekuja kuchukua kuni now many people sasa watu wengi they decide let's go back home wanaamua ah ngoja turudi nyumban but that was not me lakini huyo hakuwa mim me i was willing to wait the whole day mimi nilikuwa tayari kungoja hata siku nzima it was hard ilikuwa ni ngum to feel hungry unaanza kukasirika is an expectation you want so much lakini kunakuwa na tarajio ambalo unalitaka sana to wait longer. Hiyo inakuongoza wewe ungoje zaidi. Waiting kungoja carries patience kunabeba uvumilivu. Pain the process of waiting. Kuna maumivu katika mchakato wa kungojea. And it is that pain. Ni yale maumivu that has caused so many people to give up. Amba yamewafanya watu wengi wakati sa lost their dreams. Kwa hiyo wamepoteza zile ndoto zao. Wametoeshwa kwenye kusudi lao. Because they couldn't wait long enough. Kwa sababu walishindwa kungoja vya kutosha. To get what they were expecting for ili waweze kupata kile ambacho walikuwa wanakitarajia. One thing you kuna jambo moja naweza nikakuhakikishia the one who promised you yule aliyekuahidi you know very well just like me unamjua vizuri kama mimi that he is faithful kwamba yeye ni mwaminifu you know that unajua hivyo you can't deny that hauwezi kukaa na hiyo. You know God is faithful. Unajua kwamba Mungu ni mwaminifu. You know that he will not lie. Unajua kwamba hawezi kusema uongo. On that level we agree. Kwenye kiwango hicho tunakubaliana. What makes you give up? Sasa nini kinakufanya ukate tamaa? What makes you not to wait longer? Nini kinakufanya usingoje zaidi? Waiting. Kungoja is not waiting. Sio kungoja. Until mpaka it all the way to the end. Mpaka ifike pale ambapo ni mwisho. There's no half waiting. Hakuna kusubiri ambako ni nusu. There's no three quarter waiting. Hakuna robo tatu ya kungoja. Perfecting. Kusubiri ambako kumekamilika demands that you go all the way to the end. Kunataka ufike mpaka mwisho. Abraham waited for the promise of a son. Ibrahim alingoja ahadi ya mtoto. For 25 years. Kwa miaka 25. And it's not that he was promised by the elders of the village. Na sio kwamba alipewa hiyo ahadi na kiongozi wa pale kijijini. He was promised by God himself. Alipewa hiyo ahadi na Mungu mwenyewe. And he took 25 years. Na ilimchukua miaka 25. Today leo people can't wait one week. Watu hawawezi kungoja wiki moja. Peops. Watu hawawezi kungoja kwa wiki tatu. Peops. Watu hawawezi kungoja kwa miaka 10. What is that? Hicho ni nini? That is lack of the fruit of the spirit. Hicho ni kukosa tunda la roho. There's a fruit of the spirit that is called patience. Kuna tunda la roho ambalo linaitwa uvumilivu. That is waiting until something happens. Hiyo ni kungoja mpaka jambo litukie. Come rain come sunshine. Inyeshe liwake jua. Pain or no pain? Maumivu au pasipo maumivu. Hunger or no hunger. Uwe na njao au uwe na usiwe na nja. Uwe na furaha uwe na huzuni. You decide to. Unaamua kungoja because you know the one who promised you. Kwa sababu unajua yule aliyekuahidi is faithful. Yeye ni mwaminifu. Atatimiliza ahadi yake. That's what gives me a strength. Hicho ndio kinachonipa mimi nguvu. I wait for a long time. Naweza nikangoja kwa muda mrefu sana. Nisikilize inait kuna maumivu sana katika kungojea people to ridicule you baadhi ya watu wataanza kukudhiaki they will begin to tantalize you nyanya nyany wataanza kukulingishia baadhi ya vitu nyanya nyanya where is Mungu wako yuko wapi let them say it acha wasem the one who spoke to you lakini yule aliyesema na wewe yeye ni mwaminifu tolulf yupo pale yupo pale ili kutimiliza neno lakweza ikagharimu muda that long lakini huo muda will come to an end one day utafikia mwisho siku moja that long time kule kungoja kwa muda mrefu come to a fulfillment one day kutafikia kwenye utimilifu siku moja hear me very much nisikilize sana joy will come in the morning furaha uje asubuhi you may go throughout the night with sadness and sorrow unaweza ukakesha kwa huzuni na na kutokuwa na furaha every night lakini kila usiku it's called a night unaitwa usiku because day time is coming kwa sababu mapambazuko yanakuja foret about that usisahau hilo jambo every sunset kila kuzama kwa jua is a sunset ni kuzama kwa jua because there will be kwa sababu kutakuwa a sunrising kutakuwa na kuchomoza kwa jua be an onset of the sun kutakuwa na kuchomoza kwa jua hear me very well nisikilize vizuri waiting kungoja is a character that you need ni sifa ambayo unahitaj It's an altitude of the heart. Ni tabia ya moyo that you need to have ambayo unapaswa kuwa nayo. I'm not promising you. Sikuahidi that it will be easy. Kwamba itakuwa rahisi. Waiting has never been easy. Kungoja kama hakujawahi kuwa rahisi during the waiting. Kwa sababu wakati wa kusubiri There are many things that are happening. Kuna mambo mengi yanaendelea. The Bible says Biblia inasema your character will be constructed. You will you be you build character in you. Ah sifa yako itajengeka katika kungojea. When you wait unapongojea you build character unatengeneza tabia perseverance kuvumilia will produce character kunadhalisha tabia there are certain qualities kuna tabia fulani you need to develop ambazo unapaswa kuzitengeneza during the waiting period katika wakati wa kungojea is not an empty period sio wakati mtupu there are things that are happening in the inside kuna vitu vinatokea ndani some of you baadhi yenu you want to own huge companies mnataka kumiliki makampuni makubwa but as for now lakini kwa sasa as of now kwa sasa you don't have the qualities of leading people under you hauna hata sifa za kuongoza watu chini yako gods to squeeze you mungu anapotaka kukubananisha until those qualities are there mpaka hizo tabia au sifa zijengek you have so much anger unakuwa na hasira sana one mistake you fire some kosa moja tu unamfukuza mtu and this someone has childr na huyu mtu ana watot They are going to school wanasoma. He has children. Ana watoto feed kualisha. He needs to pay rent. Anahitaji kulipa kodi. Because of your one time mistake you have anger. Na kwa sababu ya kosa lake moja tu unapata hasira. You do not have patience. Hauna uvumilivu. And God wants to build that. Na Mungu anataka atutengeneze. So it keeps you waiting. Kwa hiyo anakufanya uendelee kungoja. So waiting happens with a reason. Kwa hiyo kungoja kunatokea kwa sababu you have to wait. Unapaswa kungojea me somebody shel nisikia mtu mmoja anapiga kelele haleluya somebody sheluya piga kelele haleluya this time wakati huu wakati huu gods you to develop the ability to wait mungu anataka utengeneze uweza wa kungojea there are certain blessing kuna baadhi ya baraka if you ask them today ukiziomba leo if you ask them tonight ukiziomba usiku wa leo receive them tomorrow morning utazipokea kesho asubuhi some of Baadhi yao them before utazipokea hata kabla hujafika nyumbani seriously kweli kabisa but there are certain blessings lakini kuna baadhi ya baraka you ask them today utaziomba leo and you have to wait na itakupasa ungoje have to wait utapaswa ungojee something god is still cooking something in your inside kwa sababu bado Mungu anatengeneza vitu ndani yako when told wait unapoambiwa ngoja it doesn't mean I have refused haimaanishi kwamba nimekataa There is no good answer like waiting. Hakuna jibu lililo zuzuri kama ngojea. When God tells you wait. Mungu anapokuambia ngojea. Why are you worried? Kwa nini una wasiwasi? It might take years. Inaweza ikagharimu miaka. But who said wait? Lakini nani alisema ungoji? If it was pastor Peter. Kama angekuwa mchungaji Peter. Then you should be worried. Kisha ungeweza kuhofia. But if it is God Lakini kama ni Mungu 100% 100% you sure una uhakika just a matter of time. Ni swala la muda tu. It will happen. Itatokea. It's just a matter of time. Ni swala la muda tu. It will happen. Itatokea. So actually kwa hiyo kimsingi when God tells you wait. Mungu anapokuambia
Ngoja. In the real sense, he has told you yes. Kwa maana ya kawaida, ni kwamba amekukubalia. You should be thankful. Unapaswa kuwa wa shukrani. There are people who are told no. Kuna watu waliambiwa hapana.
[Muziki]
There were people who were told no. Kuna baadhi ya watu jibu lao walipewa ni hapana. And you are told wait. Na wewe umeambiwa ngojea. And you are angry. Na una hasira. Because you are told wait. Kwa sababu uliambiwa ngoja. What is that? Hicho ni [Muziki] nini? So you want God to say no? Kwa hiyo nataka Mungu akukatalie. I prefer it. Mimi ningependelea kungojea. Other than being told no, kuliko kukataliwa. So I'm willing to wait as long as it takes. Kwa hiyo niko tayari kungojea kwa muda wowote utakaoni, because God cannot tell you wait unless he has a good reason. Kwa sababu Mungu hawezi kukuambia ngojea isipokuwa na kusudi lililo njema. He has a good reason. Ana sababu iliyo njema. Wait upon the Lord. Mngoje Bwana. Waiting takes time. Kungoja kunagharimu muda. And I cannot guarantee you how long. Na siwezi kukuhakikishia ni kwa muda gani. One thing I can guarantee you. Lakini jambo moja naweza nikakuhakikishia, when God tells you wait. Mungu anapokuambia ngoja. It means he has agreed. Inamaanisha amekubali. And now it's just the matter of time. Sasa linakuwa ni swala la muda tu. Keep thanking him. Endelea kumshukuru. Thank you Lord. I'm still waiting. Asante Bwana, bado nangoja.
Complain usilalamike, when you go through pain during the waiting process, unapopitia maumivu katika mchakato wa kusubiri, don't complain, usilalamike. In your prayers, say this. Kwenye maombi yako, hebu omba hivi. Lord, eh Bwana, what I'm going through, kile ninachopitia, is there anything I'm supposed to learn? Kama kuna chochote napaswa kujifunza? Please Lord, tafadhali Bwana, don't let me miss my lesson, usiniache nipitwe na mafunzo yangu, teach me Lord through this. Nifundishe Bwana kupitia hivi. I supposed to learn something through this experience? Je, napaswa kujifunza jambo juu ya hili ninalopitia? Teach me Lord. Nifundishe Bwana. Open my eyes. Fungua macho yangu. Open my understanding. Fungua ufahamu wangu. I don't want to go through the same cause again. Sitaki kurudia kozi ile ile. Because if you don't learn, kwa sababu usipojifunza, you're bound to repeat that same experience again. Unapaswa kurudia hali ile ile tena. That's why people don't understand. Hicho ndicho ambacho watu wanashindwa kuelewa. Kungoja doesn't mean you should be lazy. Hakumaanishi kwamba uwe mvivu. It should mean you should be vigilant. Inakupasa uwe mpambanaji. An observant. Na mtu unayezingatia mambo. You learn. Unajifunza. You correct yourself. Unajisahihisha. You add skills. Unaongeza ujuzi. You listen carefully. Unasikiliza kwa makini.
I remember those days. Nakumbuka zile siku, when I was waiting for that bus. Nilipokuwa nikilingoja lile basi, I would be the first one to hear the rumble from miles away. Ningekuwa ni mtu wa kwanza kusikia Mungulumo kutoka mili za mbali kabisa. Even if, hata kama ningekuwa nilikuwa nikicheza cheza pale, run, ningekimbia na kwenda kwa baba, listen. Nikamwambia baba, sikiliza. He that, sikiliza hii. It is coming. Linakuja. It is coming, linakuja.
[Muziki]
Now the bus that was coming to our village. Sasa lile basi ambalo lilikuwa linakuja kijijini kwetu, was every week. Lilikuwa ni basi lile lile kila wiki. The same driver every week. Dereva yule yule kila wiki. Eventually, mpaka, we knew the rumble of that bus. Tukajua kanuni au sheria za lile basi. If it was a different truck, would tell you. Kama tungejua mpaka ilifika tukajua mungurumo wa lile basi. Gives, unajua kungoja kunakupa uzoefu, ita, even to know the voice of God, unaweza hata kujua sauti ya Mungu, when God speaks to you, Mungu anaposema na wewe, during the waiting season, wakati wa kungoja, you develop the skill, the spiritual skill of knowing this is God speaking, unatengeneza ujuzi wa kiroho mpaka unajua huyu anayesema sasa ni Mungu. Many things happen, vitu vingi vilitokea, season, wakati wa kungojea. I'm speaking to someone, je ninasema na mtu hapa? Somebody shout, haleluya. Piga kelele, haleluya. Somebody shout, haleluya. Mtu mmoja piga kelele, haleluya. Can you give a big clap to the Lord Jesus? Pigia Bwana Yesu makofi. Now stand up where you are. Simama mahala ulipo. As we stand up, I want the worship team to stand up, to stand up at the pulpit. Tunaposimama, nataka timu ya kuabudu asimame madhabauni. Because I want us to sing. Kwa sababu nataka tuimbe. Lift up your right hand wherever you are. Inua mkono wako wa kuume mahala popote ulipo. And repeat these words from the bottom of your heart. Rudia ha maneno kutoka katika kilindi cha moyo wako. Short wako. Say, oh Lord. Sema, eh Bwana. Repeat again. Say, oh Lord. Sema tena, eh Bwana. Teach me how to wait. Nifundishe namna ya kungojea. Oh Lord, eh Bwana. Teach me how to wait. Nifundishe namna ya kungojea. Oh Lord, eh Bwana. Give me new strength. Nipe nguvu mpya. Because you've said those who wait upon you, kwa sababu umesema wakungojeao, their strength shall be renewed, watauishwa nguvu zao. Oh Lord, eh Bwana, give me new strength, nipatie nguvu mpya. Give me new strength. Nipatie nguvu mpya. Give me new strength Lord. Nipatie nguvu mpya Bwana. I am ready to wait. Niko tayari kungoja. It doesn't matter how long it takes. Haijalishi itachukua muda gani. Oh Lord. Eh Bwana. I trust your wisdom. Ninaamini hekima zako. I trust your wisdom. Ninaamini hekima zako. Najua unanipenda. I know you have good things. Ninajua una vitu vizuri, for my future. Kwa ajili ya hatima yangu. So I trust you Lord. Kwa hiyo ninakuamini wewe Bwana. And I agree to wait. Na ninakubali kungoja. Teach me how to wait. Nifundishe namna ya kungojea. Jesus, katika jina la Yesu. Mtu mmoja, amen. Give a big hand. Pigia Bwana Yesu makofi. That is not enough. Hayo makofi hayatoshi.
[Muziki]
Let's worship for the rest of the minutes that we have ahead of us. We have 10 minutes to worship the Lord. Unaweza ukamwabudu Mungu. Tuna dakika 10 za kumwabudu Mungu. Before we finish our program. Kabla hatujamaliza programu yetu, just stand up where you are, simama popote ulipo, and begin to [Muziki] worship. Holy Spirit, you are [Muziki] welcome. Feel this temple with your presence. [Muziki] Holy Spirit, you are [Muziki] welcome. Feel this temple with your presence. We wait on you, Lord. We wait on you. We wait on you, Lord. We wait on [Muziki] you. We wait on you, Lord. We wait on [Kicheko] you. We wait on you. No, we wait on you. We wait on you. We wait on you. Oh, we wait on you. We wait on you. No, we wait on you. We wait on you. We wait on you. Oh. Oh. Oh. We wait on you. We wait on you. We wait on you. Lord, we wait on you. We wait on you. Feel our heart. Oh, we wait on you. Feel these steps. We wait on you. We wait on, Oh, we wait on you. We wait on you. We wait on you. We wait on you. We on you. Ututze kwa roho wako. [Muziki] We [Muziki] Lord, we wait on you. Oh, we wait on you. Yes Lord, fill me with your character, Lord. We wait on you. We wait on you. We wait on you. We wait on you. We wait on you. We wait on you. We wait on you. We wait on you. Oh, we wait on you. We wait on you. [Muziki] Yes Jesus, Holy Spirit, you are our only hope, in you we trust Lord, and in you we hope Lord, come and feel our heart, come and feel us a praise, come and feel this praise Lord, wewe pekee ndio tumaini letu, wewe pekee yako Bwana ndio tunakuongoza eh Bwana, Bwana utujaze tena kwa upya. Utujaze zile tabia. Eh Bwana, zitakazotuongoza kwenye kusudi lako. Eh Bwana, kwenye kusudi lako eh Bwana, kwenye kusudi lako eh Bwana, kwenye kusudi lako, njaze tabia ambazo Bwana zitaniwezesha kutembea sasa na kusudi lako. Nijaze kwa upya Bwana. Eh, niweze kutembea na wewe, nijaze tena Bwana. [Muziki] Holy Spirit, Holy Spirit, Holy Spirit, I love You, guide me, you guide me, [Muziki] Holy Spirit, Holy Spirit, Holy Spirit, Holy Spirit, Holy Spirit, I love, I love [Muziki] You, holy spirit, holy spirit, holy spirit, holy spirit, holy spirit, holy, holy, holy spirit, love, I love You [Muziki] you spirit, holy spirit, spirit, I need you, holy spirit, holy spirit, I love, I love You have [Muziki] open spirit. Holy Spirit, come and open my eyes. Come and open my eyes. Holy Spirit. Holy Spirit. Say, come and open my eyes. Come and open my eyes. Come and open my eyes. Holy Spirit. [Muziki] Yes. Come and open my eyes. Open my eyes. Come and open my eyes. Holy Spirit. Holy Spirit. Father, baba, we worship your holy name. Tunaliabudu jina lako takatifu. There is no God like you. Hakuna Mungu aliye kama wewe. You are the only one worthy to be praised. Wewe pekee unastahili kusifiwa. You are the only one worthy to be magnified. Wewe pekee unastahili kutukuzwa. You are the only one worthy to be glorified. Wewe pekee unastahili kutukuzwa. Oh Lord God Jehova. Eh Mungu Jehova. We know that you have a destiny for each one of us. Tunajua unayo hatima kwa kila mmoja wetu. Each one of us, kila mmoja wetu Bwana, heading somewhere, anaelekea mahali, somewhere you prepared for that person. Mahali ambapo umemwandalia huyo mtu. But the journey is long. Lakini safari ni ndefu. There are valleys along the way. Kuna mabonde katikati ya safari. There are mountains along the way. Kuna milima njiani. There are holes along the way. Kuna mashimo njiani. There are wild dogs along the way. Kuna mbwa mwitu njiani. Oh Lord. Eh Bwana. When our hearts are almost getting melted, mioyo yetu inapokaribia kusinyaa. Father, we pray in the name of Jesus. Baba, tunaomba kwa jina la Yesu, our strength, uishe nguvu zetu. Renew our strength. Uisha nguvu zetu. I pray, baba ninaomba, someone's strength, huisha nguvu ya mtu mmoja. Someone, mtu ambaye yupo kwenye hiki kipindi anaelekea kukata tamaa. Lord, give them new strength. Naomba Mungu mpe nguvu mpya. wanapokungoja wewe mtu moja